• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA MORO YAPONGEZWA KUFANYA VYEMA MRADI WA KIMKAKATI.

Posted on: February 25th, 2019

Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais ,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jafo ameupongezaUongozi wa mkoa wa Morogoro  kwa kutekeleza vizuri ujenzi wa SokoKuu  la kisasa linalojengwa katika Halmashauri ya Manispaa yaMorogoro.

Waziri Jafo alisemahayo  baada ya kukagua ujenzi wa soko la kuu la kisasa  laManispaa hiyo  Februari 23, mwaka huu (2019)  nakuridhishwa  na maendeleo ya ujenzi wake ambao hadi kukamilika kwakeutakuwa umegharimu kiasi cha Sh bilioni 17.6,  fedha zilizotolea naSerikali kuu.

Licha ya kutoa pongezihizo  aliwataka wakandarasi ya ujenzi huo ambao ni kampuni ya Nandhrakuendelea na kasi ya ujenzi  na wasirudi nyuma ili ukamilike kwa mudauliopangwa.

Waziri Jafo alisema,katika  awamu ya kwanza ya utekelezaji  wa miradi yakimkakati ipatayo  22 nchini imepata fedha kiasi cha zaidi ya Shbilioni 147 ikiwemo  na Manispaa ya Morogoro.

“ Ninyi Manispaa ya Morogoro mmeanzavizuri  tofauti na sehemu nyingine ambazo kwenye utekelezaji wamiradi hii bado wapo  kwenye mchakato wa manunuzi  , amakila mtu anakuja na mkandarasi wake  na hiyo ni kwa ajili ya kutakakupata asilimia kumi (10%)” alisema Waziri Jafo.

Kwa mujibu waWaziri  huyo, miradi hiyo haihitaji watu ama viongozi waingizemaslahi yao binafsi ,kwa vile ni miradi  inayotakiwa ijibu matatizoya wananchi katika halmashauri zao .

 Hata hivyo alisema ,lengo laSerikali ya awamu ya tano ya Rais Dk John Magufuli ni kuziwezesha halmashaurikwenye ujenzi wa miradi ya kimkakati.

Waziri Jafo alisema , kwa kazinzuri inayofanywa na Halmashauri ya manispaa ya Morogoro, yuko tayari kupitishafedha za miradi mingine ya aina hiyo iwapo wataomba.

“kwa speed hii inayoendelea siodhambi watu kama ninyi kuwapa mradi mwingine, sio dhambi” alibainisha Waziri Jafo.

Alisema , azma hiyoinalenga  kutaka kuziona  halmashauri zinatengeneza mifumowa kujiimarisha  katika uwekezaji wa miradi   mbalimbaliya maendeleo itakayochangia ukusanyaji wa mapato ya ndani.

“ Halmashauri  zishindanekatika hali ya kujitegemea ili kuepuka utegemezi  na kujitegemeakokote lazima uwe na vitega uchumi kama hivi vya soko” alisema na kuongeza.

“  Imefikia   mahalipengine posho za mwezi za  madiwani wanakopwa kutokana na halmashaurikuwa haina fedha” alisisitiza  Waziri Jafo.

Naye Meya wa Manispaa ya Morogoro,Pascal Kihanga alimpongeza Rais kwa kuiwezesha kifedha halmashauri hiiili  kujenga soko kuu la kisasa ambalo litachangia kujibu kiuya  wafanyabiashara na kuiingizia mapato halmashauri.

“ Natoa shukrani kwa niaba yawananchi wa Manispaa  kwa Serikali ya Mhe Rais Dk  JohnMagufuli kwa kutoa fedha kwa ajili ujenzi wa miradi ya maendeleo ukiwemo wasoko hili” alisema Kihanga .

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa waMorogoro,  Dk Kebwe Stephen Kebwe pamoja na kupokea maelekezo yaliyotolewana Waziri  alimueleza kuwa tayari kuna miradi ambayo imeshaanzakuibuliwa ukiwemo  na halmashauri hiyo ukiwemowa  machinjio  kwa lengo hilo la kutaka kujitegemeakimapato.

Awali , Mchumi kutoka ofisi yauchumi, Jacqueline Mushi  katika taarifa yake kwa Waziri alisema,halmashauri ilitengewa kiasi cha Sh bilioni 10 kutoka wizara ya Fedha naMipango kwa ajili ya ujenzi wa soko hilo, huku  halmashaurikupitia mradi wa uboreshaji wa Mjini (ULGSP) itachangia Sh bilioni 7.5 nakuufanya gharama za mradi  kuwa ni Sh: 17.6

 Mushi alisema , hadi sasamkandarasi wa ujenzi ameshalipwa Sh bilioni 3.8  na  hatuaya utekelezaji wa mradi kwa ujumla kwa ujenzi wa jengo umefikia asilimia 30. 56na hatua ya ujenzi kwa mradi wote umefikia asilimia 22. 92 , ambapo mradi huoumepangwa kukamilika Septemba mwishoni mwaka huu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa