• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MOREPEO YAIOMBA MANISPAA KUSAIDIA WAZEE KUANZISHA MABARAZA

Posted on: October 2nd, 2017

SHIRIKA la kuhudumia wazee Mkoani Morogoro (MOREPEO)  limeuomba uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuharakisha mchakato wakuwatambua wazee wote waliopo  ili kuweza kuunda mabaraza  maalumu ya wazee.

 

Hayoyalisemwa jana  na Mkurugenzi wa Shirika hilo Samson Msemembo wakati akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee ambayoufanyika kila mwaka.

 

Alisemakuwa   manispaa inapaswa kuwatambua wazee wote waliopo ili kuundwa mabaraza hayo jambo ambalo litawasaidia wazee kukutana na kujadili masula na changamoto mbalimbali za wazee na kisha kero zaokuzifikisha katika ngazi ya maamuzi.

 

‘’Tumeshatoa miezi miwili kwa Halmashuri ya Manispaa  ya Morogoro  kusimamiana kuhakikisha mabaraza hayo yanaundwa ‘’alisema Msemembo .

 

Hata hivyo alisema kuwa wazee mkoani Morogoro wanakabiliwa na changamoto kubwa yakulea watoto yatima na wale wenye maambuki ya virusi vya ukimwi huku wakikosa rasilimali fedha ya kuendesha  maisha yao ya kila siku .

 

Kwaupande wake Mstahiki Meya  wa Manispaa ya Morogoro Pascal Kihanga aliwataka wazee kuwa wavumilivu wakati wakisubiri mchakato wa  mabaraza hayo kuundwa kila kata .

 

‘’Nawaomba wazee kuwa wavumilivu wakati wakisubiri mabaraza haya kuundwa kwani yatawapa fursa wazee kukutana  na kuwa na Mwenyekiti  wao‘’alisema  Kihanga.

 

Hatahivyo Mstahiki Meya aliwashukuru wadau mbalimbali na mashirika yanayosaidiawazee  kwani serikali peke yake haiwezi  kwaniwazee wanapaswa kusaidiwa kwani walishalitumikia taifa kwa muda mrefu .

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa