2.0 MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2016:
|
|
|
|
|
|
||||||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
3.0 UKAGUZI WA VITUO VYA MTIHANI:
Ukaguzi wa Vituo vya Mtihani ulifanyika tarehe 21/8 - 25/8/2017, jumla ya shule 87 zinazotarajia kufanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017 zilikaguliwa. Aidha ukaguzi huo ulitegemea maoni ya kamati kwa vile baadhi ya shule hazina changamoto za kimiundombinu. Kamati ya Mitihani imehakikisha kuwepo kwa Kasiki madhubuti za kuhifadhia mitihani na kuwepo kwa vifaa muhimu vya kufanyia mtihani kama:- Penseli (HB) zisizo na ufutio, Vifutio, Vichongeo, Vifaa vya kunawia mikono kabla ya kuingia chumba cha Mtihani kwa ajili ya kuzuia uchafuzi wa OMR pia watasisitizwa usafi wa madarasa na madawati/meza, aidha walimu watahimizwa kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi anakuwa na kitambaa chake cha kufutia mikono baada ya kunawa.
4.0 SEMINA NGAZI YA WILAYA:
Semina ya maelekezo kuhusu Uendeshaji na Usimamizi wa Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017, ilifanyika tarehe 14/8/2017 katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Morogoro kulingana na ratiba iliyotolewa na Mkoa. Katika semina hiyo Kamati ya Mtihani ya Mkoa ilihusika kutoa mada na maelekezo ya usimamizi.
Askari 7 watahusika na ulinzi wa Kasiki, Askari 10 watahusika na ulinzi wakati wa kupeleka mitihani kwenye Kanda za mitihani na Mgambo 87 watahusika na ulinzi kwenye vituo vya mtihani.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa