• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

WAZAZI, WALEZI WANAPASWA KUWAJIBIKA KATIKA MALEZI YA WATOTO

Posted on: December 31st, 2024

MKURUGENZI waManispaa ya Morogoro, Emmanuel Mkongo, amewataka wazazi na walezi kutimiza wajibu wao wa kuwalea watoto katika misingi iliyo bora na sahihiili kuepukana na mmomonyoko wa maadili katika jamii.


Mkongo,  ametoawito huo Desemba 31-2024  wakati wa kugawa zawadi ya  Sikukuu yaChristimas na Mwaka Mpya katika Makao ya kulelea watoto ya Dar Ul MusleemOrphanage na Mgolole akiwasilisha zawadi za Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Morogoro,Mhe. Mussa Kilakala.

Aidha,Mkongo,  amesema wazazi na walezi wanajukumu lakuhakikisha wanatoa malezi yaliyo bora kwa watoto ili waweze kutimiza ndotozao.

"Ni jukumu la kila mzazi na kila mlezi kuwa ni sehemu yakuwajibika katika kuhakikisha kwamba watoto wanapata malezi yanayo waelekezakuandaa kesho yao ambayo ni bora zaidi, hawa watoto ambao wanalelewa katikamakao haya asilimia kubwa ni wazazi kutotimiza wajibu wa malezi  nawengine kukimbia majukumu yao kama wazazi japo wapo ambao wazazi wao wameshatanguliambele za haki na hakuna anayewajibika kuwalea "Amesema Mkongo.

Kwa upande wa Afisa Ustawi Manispaa ya Morogoro,SidinaMathias,amewataka wazazi na walezi  kuwakaribu na watoto wao ili kutambua mienendo yao ambayo inaweza kusababishakufanyiwa vitendo vya ukatili.


"Sote tunatambua kuwa watoto wamekuwawahanga wakubwa wa vitendo vya ukatili wa kijinsia. Njia pekee ya kuwasaidiawatoto ni kuwa karibu yao na ili waweze kuwaeleza viashiria vya ukatili wakijinsia wanavyokabiliana navyo mapema kabla hali haijawa mbaya. Ukatili wakijinsia kwa watoto unawaathiri kimwili, kihisia na kisaikolojia. Baadhi yawatoto wamepoteza ndoto katika maisha yao kutokana na vitendo hivi” AmesemaSidina.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa