• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

WAZIRI DKT. GWAJIMA APATA TUZO YA HESHIMA MOROGORO.

Posted on: June 25th, 2022

WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maaalum Dkt Dorothy Gwajima amepokea Tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wake katika vita dhidi ya ukatili kwenye jamii akiwa ni Waziri mwenye dhamana.

Tuzo hiyo imetolewa na Jukwaa la "Ladies Talk Tanzania" tarehe 25 Juni, 2022 mkoani Morogoro sanjari na tuzo ya heshima kwa Mkuu wa Mkoa Mhe. Martine Shigela kwakuwa Mstari wa mbele katika maendeleo na mazingira.

Akizungumza kwenye Hafla hiyo, Waziri Dkt. Gwajima, amesema, anaheshimu na kuthamini tuzo hiyo aliyopewa ambapo kwake imekuwa chachu ya kutimiza majukumu yake, hivyo akaahidi kuendelea kutekeleza majukumu aliyonayo bila kuchoka ili kuitendea haki tuzo hiyo aliyopewa.

Waziri Dkt. Gwajima amewapongeza waandaaji wakiongozwa na Salome Sengo ambaye ndiye Mkurugenzi Wa Ladies Talk Tanzania kutokana na jitihada wanazochukua katika kumuinua Mtoto wa kike.

'Mmenishangaza sana, kusikia wengi wenu ni wasomi lakini pamoja na kuendelea na Masomo bado mmejikita katika ujasiriamali unao wafanya kuweza kujikimu kimaisha lakini pia kuwasaidia ndugu zenu kwa baadhi yenu, sisi enzi zetu tukisoma tulitegemea mahitaji kutoka kwa wazazi, kwenu kizazi cha sasa ni tofauti hongereni sana" alisema Dkt Gwajima.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Martine Shigella akizungumza wakati wa hafla hiyo amesema, awali kabla ya kuanzishwa kwa Wizara hiyo ilionekana kama hakuna uhitaji wake kutokana na kujumishwa kwenye Wizara ya Afya na Mambo mengi kumezwa na upande wa Afya lakini toka imeanzishwa mambo yamekuwa ni tofauti.

"Mhe. Waziri kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa wa Morogoro nikupongeze sana kwa kazi kubwa unayoifanya, hivi sasa kila mmoja anatamani kuwa sehemu ya Wizara hii kwa namna wewe na wasaidizi wako mnavyotenda kazi, Wizara inaonekana hapo ndipo unapo baini Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikuwa na maono makubwa katika uanzishwaji wake na kukuteua wewe kuwa Waziri Mwenye dhamana "Alisema Mhe. Shigella.

Kwa upande wake Mkurugenzi na Muandaaji wa Tuzo hizo Salome Sengo, amesema wanatambua na kuheshimu mchango unaotolewa na viongozi hao katika nafasi zao kwenye kusukuma gurudumu la maendeleo.

Usiku wa Ledies Talk, Umefanyika kwa Mara ya Nne Mjini Morogoro na kuwaleta zaidi ya Mabinti 175 wenye Umri kati ya miaka 15 hadi 35 ambapo wamejadiliana juu fursa mbali mbali za kujikwamua kiuchumi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DKT.KIJAJI AFUNGA WIKI YA MAZIWA KITAIFA NA KUWATAKA WAFUGAJI KUZALISHA MAZIWA SALAMA KUENDANA NA USHINDANI WA SOKO LA MAZIWA.

    June 02, 2025
  • WANANCHI WATAKIWA KUSAFISHA MAZINGIRA YAO MARA KWA MARA

    May 31, 2025
  • WATENDAJI WA MITAA WATAKIWA KUSIMAMIA VYEMA MKATABA WA LISHE

    May 29, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa