• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Agricultre and Cooperative

DIVISHENI YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI

Lengo

Kuhamasisha mabadiliko na maendeleo ya kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni za kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi;
  • Kupendekeza viwango na bei za bidhaa na huduma zitokanazo na kilimo, mifugo na uvuvi;
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na mrefu zinazohusu maendeleo ya kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi;
  • Kusimamia uendelezaji na utawala wa vyama vya ushirika katika Halmashauri;
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau kuhusu kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi;
  • Kuandaa taarifa za kilimo, umwagiliaji, uvuvi na mifugo; na
  • Kusimamia ukusanyaji na udhibiti wa mapato yanayotokana na shughuli za kilimo, umwagiliaji, mifugo na uvuvi.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina Seksheni tatu kama ifuatavyo:-

  • Seksheni ya Kilimo
  • Seksheni ya Mifugo; na
  • Seksheni ya Uvuvi.
  • Seksheni ya Kilimo
  • Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-
  • Kuandaa na kutekeleza program za usambazaji wa mbolea katika vituo mbalimbali vya mauzo;
  • Kuandaa program za kuandaa na kuhifadhi pembejeo za kilimo;
  • Kupima udongo wa mashamba ya wakulima na kutoa ushauri ipasavyo;
  • Kutoa ushauri kwa wakulima kuhusu namna ya kufanya baada ya mavuno, usindikaji wa kilimo na kuongeza thamani ya mazao ya kilimo;
  • Kukadiria mavuno/uzalishaji wa mazao wa mazao muhimu;
  • Kufanya kazi za takwimu na sense ya kilimo;
  • Kufanya onesho la jaribio la maonesho ya aina mbalimbali na majaribio ya mbolea kwa sehemu ya Halmashauri nzima;
  • Kusimamia uendelezaji na utawala wa vyama vya ushirika;
  • Kuratibu uhifadhi wa mbolea, njia za kulinda mmea katika ngazi ya kijiji;
  • Kuandaa kambi za mafunzo ya wakulima katika ngazi ya kijiji;
  • Kuandaa na kutekeleza mpango wa mseto wa mazao hasa kwa maeneo ya umwagiliaji;
  • Kutekeleza program ya maendeleo ya gesi asilia;
  • Kupanga, kuandaa, kujenga na kuendeleza skimu za umwagiliaji;
  • Kuwezesha uundaji wa mashirika ya umwagiliaji na kuhakikisha kwamba yana ustadi unaohitajika kwa ajili ya usimamizi bora na endelevu wa umwagiliaji;
  • Kusaidia uundaji na utekelezaji wa sheria ndogo za umwagiliaji kwa kushirikiana na chama cha wamwagiliaji kilichopo katika maeneo yao; na
  • Kutoa huduma za nyuma kwa wakulima katika skimu za umwagiliaji kwa kuanzisha timu ya usaidizi ya usimamizi wa skimu za umwagiliaji.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Mifugo   

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za mifugo;
  • Kuandaa mipango na program za muda mfupi na za muda mrefu za maendeleo ya mifugo;
  • Kutathmini uhifadhi na utawala bora wa vyama vya ushirika;
  • Kusimamia uendelezaji na utawala wa vyama vya ushirika;
  • Kutoa msaada wa kitaalamu kwa wadau wa sekta ya mifugo; na
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu mifugo.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

  • Seksheni ya Uvuvi
  • Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-
  • Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria, kanuni na taratibu za uvuvi;
  • Kuandaa mpango na program za muda mfupi na mrefu za maendeleo ya rasilimali za uvuvi;
  • Kutathmini uhifadhi na matumizi ya rasilimali za uvuvi;
  • Kusimamia uhamasishaji na usimamizi wa vyama vya ushirika;
  • Kutoa msaada wa kitaalamu kwa wadau wa sekta ya uvuvi; na
  • Kuratibu na kusimamia miradi yote inayohusu uvuvi.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa