• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Rasilimali watu na Utawala

DIVISHENI YA UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU 

Lengo

Kutoa utaaamu na huduma kuhusu usimamizi wa rasilimali watu na masuala ya kiutawala kwa Manispaa na kuratibu masuala yote yanayohusu chaguzi kuu na za Serikali za Mitaa ndani ya Manispaa.

Majukumu

Divisheni hii inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kufafanua Kanuni za Huduma ya Umma; Kanuni za Kudumu na sheria zingine za kazi;
  • Kusimamia utekelezaji wa shughuli za uhamasishaji wa maadili ikiwa ni pamoja na elimu ya kuzuia rushwa;
  • Kutoa na kusimamia utekelezaji wa shughuli kama vile kuajiri, kuchagua, kutoa mwelekeo, mafunzo na maendeleo ya mwajiriwa, kupandishwa vyeo, nidhamu, hamasa, uhifadhi, usimamizi wa utendaji na ustawi wa jumla wa wafanyakazi;
  • Kuhakikisha usimamizi bora na wa ufanisi na matumizi ya rasilimali watu;
  • Kuratibu Baraza la Wafanyakazi na masuala ya vyama vya wafanyakazi;
  • Kusimamia maendeleo na utekelezaji wa sera bora, taraibu na miongozo ya kuajiri, mafunzo na maendeleo, usambazaji na uhifadhi wa wafanyakazi, kupanda vyeo, usimamizi wa utendaji;
  • Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa rasilimali watu na orodha ya ujuzi wa sasa na unaohitajika;
  • Kutoa huduma za kumbukumbu, umesenja na uwakala; na kusimamia kumbukumbu za Ofisi;
  • Kusimamia masuala ya itifaki;
  • Kuwezesha utoaji wa huduma za usalama, usafiri na mahitaji ya jumla;
  • Kuwezesha ukarabati wa vifaa vya Ofisi, majengo na viwanja;
  • Kuratibu utekelezaji wa shughuli zinazochochea maadili;
  • Kuratibu utekelezaji wa masuala mbalimbali;
  • Kuratibu utekelezaji wa Ushiriki wa Sekta Binafsi, Uboreshaji wa Mchakato wa Biashara na Mkataba wa Huduma kwa Wateja;
  • Kutoa ushauri kuhusu ufanisi wa taasisi ya ofisi;
  • Kuratibu shughuli za uchaguzi kwenye Manispaa; na
  • Kusimamia chaguzi kuu na za Serikali za Mitaa.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na ina seksheni mbili kama ifuatavyo:-

  • Seksheni ya Usimamizi wa Rasilimali watu; na
  • Seksheni ya Utawala

Seksheni ya Usimamizi wa Rasilimali Watu

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kutafsiri na kuhakikisha Kanuni za Huduma ya Umma, Kanuni za kudumu na sheria zingine za Kazi zinafuatwa;
  • Kutekeleza mpango na maendeleo ya rasilimali watu;
  • Kuratibu ajira za wafanyakazi, uchaguzi, mafunzo ya mwelekeo, uwekwaji, kuthibitishwa, mafunzo na maendeleo ya waajiriwa, kupandishwa vyeo na uhamisho;
  • Kuandaa makadirio ya Malipo ya Mwaka ya Mfanyakazi na kushughulikia na kuandaa mishahara;
  • Kuratibu utekelezaji wa mfumo wa OPRAS
  • Kusimamia mafao ya mwajiriwa (pensheni, posho, kustaafu, kujiuzulu, kifo n.k) na stahili nyinginezo;
  • Kusimamia huduma zinazohusiana na huduma ya fomu ya kujitenga (kustaafu, kujiuzulu n.k);
  • Kuwezesha uhusiano wa mwajiriwa na ustawi ikiwa ni pamoja na afya ya mwajiriwa na usalama, michezo na utamaduni;
  • Kuchakata na kusasisha rekodi za likizo kama vile mapumziko, ugonjwa, uzazi, masomo na mwisho;
  • Kuratibu madai na kushughulikia malalamiko;
  • Kuhudumu kama Sekretarieti kwa Kamati ya Uteuzi; na
  • Kuratibu Baraza la Wafanyakazi na masuala ya vyama vya wafanyakazi.
  • Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

Seksheni ya Utawala

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kuwezesha ukarabati wa vifaa vya ofisi, majengo na viwanja;
  • Kuratibu utekelezaji wa shughuli za kukuza maadili ambazo ni pamoja na kuzuia vitendo vya rushwa;
  • Kuratibu utekelezaji wa masuala mbalimbali;
  • Kutoa huduma za usajili, umesenja na utumaji na kusimamia kumbukumbu za ofisi;
  • Kushughulikia masuala ya itifaki;
  • Kuwezesha utoaji wa huduma za usalama, usafiri na huduma za jumla;
  • Kuratibu utekelezaji wa Ushiriki wa Sekta Binafsi, uboreshaji wa Mchakato wa Biashara na Hati ya Huduma kwa Mteja katika ofisi;
  • Kushauri kuhusu ufanisi wa taasisi ya ofisi;
  • Kuratibu shughuli za uchaguzi kwenye Manispaa;
  • Kuratibu chaguzi kuu na chaguzi za Serikali za Mitaa; na
  • Kufuatilia utekelezaji wa kanuni za utawala bora.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI YATOLEWA MANISPAA YA MOROGORO.

    May 14, 2025
  • BALOZI BATILDA ATAKA MAONI YA WADAU KUFANYIWA KAZI KUELEKEA MAONESHO YA NANENANE KANDA YA MSHARIKI 2025

    May 06, 2025
  • MAAFISA ARDHI WATAKAOBAINIKA NI VYANZO VYA MIGOGORO YA ARDHI TUTAWAFIKISHA MAHAKAMANI-DKT.NDUMBARO.

    May 05, 2025
  • WAAJIRI SEKTA BINAFSI RUHUSUNI WATUMISHI WENU KUJIUNGA NA CHAMA CHA WAFANYAKAZI - RC MALIMA.

    May 01, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa