Dira
Dira ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni kuhakikisha kuwa Maisha bora kwa wakazi wa Manispaa ya Morogoro yanapatikana, Huduma za Afya zikiwemo hospital bora zenye vitendea kazi zinaimarishwa. Pia Halmashauri inahamu ya kuona:-
‘Kuwa na jamii iliyo na maisha bora na endelevu yenyehuduma bora za kijamii na kiuchumi ifikapo mwaka 2025'.
Dhamira
‘Halmashauri kwa kushirikiana na wadau wake, itajitahidikutoa huduma bora za kijamii na kiuchumi kwa kutumia vyema rasilimali zilizopokwa manufaa ya wakazi wa Halmashauri na hata nje ya mipaka yake ifikapo mwaka 2025'
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa