• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Viwanda


  • ORODHA YA VIWANDA VYOTE VINAVYOFANYA KAZI NA VISIVYOFANYA KAZI HALMASHAURI YA MANISPAA – MOROGORO

Katika utekelezaji wa Dira ya Maendeleo inayohusu uanzishwaji  wa viwanda angalau 100 kila Mkoa kwa mwaka , Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imeunga mkono kampeni hii kwa kutekeleza maazimio ya Baraza la Biashara la Mkoa kuwa na viwanda visivyopungua 20  kwa kila Halmashauri kwa kubainisha yafuatayo:-

  • Kutambua viwanda vyote vilivyokuwepo na vinavyofanyakazi kwa sasa na vilivyofungwa kwa sababu mbalimbali. Hii ni kipimo wakati wa tathmini ya viwanda inapofika mwisho wa mwaka, Disemba 2018.
  •  
  • VIWANDA VINAVYOFANYAKAZI
  • viwanda vikubwa
Na.
Jina la Kiwanda
Bidhaazilizolengwakuzalishwa
Ualishaji kwa mwezi
Idadi ya Ajira

TRL Workshop
Matengenezo ya Injini za treni na vipuri

137

Tanzania Tobacco Processors Ltd
Tumbaku iliyokaushwa
Tani 13.5 kwa saa
2,500

21st Century Textile Ltd.
Nguo
Mita milioni 2.5 za nguo kwa siku
2,000

SAS Gas Ltd.
Gesi



East Hides Ace Leather  Ltd.
Usindikaji wa Ngozi
Ngozi 300 kwa siku
30

Morogoro Plastics Co. Ltd.
Plastics



Tanzania Packaging Manufactures (l998) Ltd
Magunia
Magunia 37,000 kwa siku
300

Mzinga Corporation
Vipuri, Risasi, Baruti na Mashine za Kilimo na Usindikaji



Mazava Fabrics & Production E. A. Ltd
Nguo za michezo
1,300,000 kwa  mwezi
2,500

A.E.L Mining Industry
Kiwanda cha Baruti


  • Viwanda vya kati
Na.
Jina la Kiwanda
Bidhaa zilizolengwa kuzalishwa

Burhan Gypsum
 Gypsum

Aduke Food
Kutengeneza Mvinyo

Intermech Engineering Ltd
Vifaa vya mashine

MZ Packing
Plastics

BSK Engineering
Vifaa vya mashine

Shambani Milk Ltd
Kusindika Maziwa

Baklina Ltd
Kusindika Maziwa

 

  • Viwanda vidogo

Na.

Jina la Kiwanda
IDADI

1.

Mashine za kusaga na kukoboa nafaka

159

2.

Gereji

34

4.

Usindikaji

13

5.

Useketaji (weaving)

3

6.

Ushonaji

83

7.

Useremala

21

8.

Mashine za kufyatua tofari za njanja

15

 

Jumla

328

  •  
  • VIWANDA VILIVYOFUNGWA
Na.
Jina la Kiwanda
Bidhaa zilizolengwa kuzalishwa

Morogoro Canvas Mills (l998) Ltd.
Turubai, Vitambaa

Abood Soap Industry Ltd.
Sabuni

Morogoro Ceramics Wares
Vyombo vya udongo

Tanzania Leather Goods Industries Ltd.
Bidhaa za ngozi

VYAHUMU (Vyakula na Huduma za Mashine za Usindikaji)
Kukamua mafuta mf. Alizeti na huduma za mashine za usindikaji

Morogoro Farmers Cooperative Union Ltd. (Ginnery)
Kuchambua Pamba

Abood Seed Oil Ltd.      
Mafuta ya kupikia
  • Kushirikisha kampeni hii kwa sekta binafsi kupitia Baraza la Biashara la Manispaa.
  • Na ilifahamika kwamba Halmashauri ya Manispaa imeshatenga maeneo ya ujenzi wa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa katika Kata ya Mkundi mtaa wa Mawasiliano kitalu LL ekari 50 viwanja 16 na Star City Nanenane kata ya Tungi ekari 5000. Viwanja vya Mkundi vinapatikana kwa bei ya shs. 4,500/= kwa mita ya mraba na vile vya Tungi ni Sh. 10,000/= kwa mita ya mraba. Bei hii inapungua kadri mtu anavyochukua ekari nyingi. Pia kuna mpango wa kupima ekari 5000 eneo la Kiegea (B) Ngerengere kuongeza eneo la viwanda.
  • Halmashauri ya Manispaa kwa kushirikiana na Taasisi za MORUWASA, TANESCO  pamoja na TARURA zinafanyakazi kwa pamoja kuhakikisha huduma za barabara, maji na umeme zinafika maeneo yaliyotengwa ili kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji.
  • Kuratibu shughuli za viwanda vidogo vidogo ambavyo viko katika maeneo yasiyo rasmi kama utengenezaji samani,  ufundi vyuma na ufundi vioo na aluminium, wahusika wajiunge ili wapate viwanja maeneo yaliyotengwa. Wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) nao wamehamasishwa kupitia viongozi wao waungane katika vikundi ili kuchangamkia fursa hii ya maeneo ya viwanda.
  • Katika bajeti ya Halmashauri ya Manispaa asilimia 10 kwa ajili ya vijana, makundi maalum wanawake uhamasishaji vikundi ili fedha inapotolewa vikundi vivutike kuanzisha viwanda.
  •  
  • VIWANDA VILIVYOANZISHWA KATI YA TAREHE 1/12/2017 NA 30/11/2018
  • Upande wa sekta binafsi; Chemba ya biashara Mkoa (TCCIA) iliwasilisha wawekezaji ambao waliomba maeneo ya uwekezaji wa viwanda;
  • EFTA – Ujenzi wa kiwanda cha technolojia za kilimo.
  • Kongano la uzalishaji nafaka Morogoro (KUNAMI), wameomba eneo la hekta 10 kwa ajili ya viwanda vya mashine za kusaga nafaka.
  • DALES GROUP CO. (USA) ; Exporters of fruits & spice   and green products.
  • Mr. Mnute – Kilimo Nanenane
  • Shambani Milk – Usindikaji wa maziwa
  • Kongamano la uyoga na TIRDO – Uwekezaji katika uwanja wa Nanenane
  • Viwanda vidogo vidogo 

Mashine za kusaga
 72

Mashine za kukamua mbegu
  07

Mashine za kufyatua tofali za njanja
  07

Gereji and Workshop
  09

Ushonaji
  22

Jumla

117

 

  • Ajira:
  • Me
  • 274

  • Ke
  •   78

  • Jumla
  • 352

Katika Kipindi cha Disemba , 2018 hadi 30 Aprili 2019 Jumla ya viwanda vidogo 39 vimeanzishwa. Viwanda vya kati 2 na kiwanda kikubwa kimoja kinajengwa.

Viwanda hivi vidogo ni pamoja na kiwanda cha;

  1. Kusaga na kukoboa nafaka (viwanda 9)
  2. Workshop na Gereji (viwanda 10)
  3. Kutengeneza mikanda ya gypsum (kiwanda 1)
  4. Kufyatua tofari za njanja ( vibrated blocks – viwanda 4)
  5. Kusindika nafaka ( Kiwanda 1)
  6. Kuchakata chupa cha plastic (kiwanda 1)
  7. Kutengeneza chaki (Kiwanda 1)
  8. Kutengeneza misumari, waya za fensi na madirisha (Kiwanda 1)
  9. Kutengeneza gundi za viatu na mbao (Kiwanda 1)
  10. Kushona nguo (viwanda 10)

Viwanda hivi vimetengeneza ajira kwa watu 144 (wanaume 113 na wanawake 31)  - Jedwali ‘A”

  • Viwanda vikubwa vinavyojengwa
    • Na.
    • Jina la Kiwanda
    • Eneo kilipo
    • Bidhaa zitakazozalishwa
    • Hali Halisi
    • 1.
    • Murzah Wilmar East Africa Ltd
    • Mafisa Viwandani
    • Mchele
    • Ujenzi unaendelea. Uzalishaji unategemea kuanza mwezi wa Septemba, 2019

    • Viwanda vya kati vinavyojengwa
      • Na.
      • Jina la Kiwanda
      • Eneo kilipo
      • Bidhaa zitakazozalishwa
      • Hali Halisi
      • 1.
      • Sozi Integrity Co. Ltd
      • Kilimanjaro Kihonda
      • Kusindika nafaka (unga wa mahindi)
      • Kilishakamilika kinasubiri marekebisho ya umeme ( Umeme uliopo ni mdogo)
      • 2
      • Herocean Entreprises Ltd
      • Msamvu Mwembesongo
      • Kutengeneza mabati
      • Uwekaji wa njia za umeme unaendelea ili uzalishaji uanze












Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa