• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

Mipango Miji na Mazingira

DIVISHENI YA MIUNDOMBINU, NA UENDELEZAJI WA VIJIJINI NA MIJINI

Lengo:

Kusimamia na kushauri masuala yote yanayohusiana na miundombinu katika Manispaa.

Majukumu

Divisheni inatekeleza majukumu yafuatayo:-

  • Kushauri kuhusu masuala yanayohusu sekta ya ujenzi;
  • Kupanga maendeleo ya miundombinu;
  • Kukuchambua na kutoa mapendekezo juu ya madai ya malipo ya wakandarasi;
  • Kukagua kazi za ujenzi zinazofanywa na Manispaa na kuhakikisha ubora wake;
  • Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa mikataba iliyokamilika;
  • Kufanya ujenzi wa barabara mpya kwa kushirikiana na TARURA;
  • Kuanzisha na kudumisha ushirikiano na taasisi za nje na ndani ya nchi zinazoshughulika na masuala ya miundombinu;
  • Kushiriki katika kuwezesha utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi;
  • Kusimamia mchakato wa ukuaji wa miji kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana ya ardhi; na;
  • Kusimamia maendeleo ya makazi vijijini na mijini kwa kushirikiana na wizara inayohusika na ardhi.

Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni na inajumuisha seksheni tatu kama ifuatavyo:-

  • Seksheni ya Kazi
  • Seksheni ya Barabara na
  • Seksheni ya Maendeleo ya Vijijini na Mijini
  • Seksheni ya Kazi

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kutoa ushauri kuhusu sheria, kanuni, taratibu na masuala yote yanayohusu ujenzi
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni zinazohusu masuala ya ujenzi
  • Kuandaa mikataba inayohusu majengo na mitambo
  • Kuandaa na kukadiria gaharama za ujenzi
  • Kufuatilia utendaji wa wakandarasi
  • Kuchambua na kutoa mapendekezo ya madai ya malipo kutoka kwa wakandarasi
  • Kukagua majengo na kuhakikisha ubora wake
  • Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa kazi zilizokamilika kulingana na mikataba na
  • Kusimamia uendeshaji wa karakana za Halmashauri

Kitengo Hiki Kinaongozwa na  Afisa Anayehusika.

2. Seksheni ya Barabara

Seksheni hii inatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kutoa ushauri kuhusu masuala yanayohusu kutambua na kuanzisha barabara mpya
  • Kuchambua, kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa sera, sheria na kanuni zinazohusu uanzishaji wa barabara.
  • Kutengeneza barabara mpya kwenye ardhi iliyopimwa
  • Kuandaa kandarasi za kutengeneza barabara mpya
  • Kuandaa makadirio ya gharama za kutengeneza barabara
  • Kufuatilia utendaji wa wakandarasi
  • Kutoa vyeti kwa wakandarasi kwa kazi zilizokamilika kulingana na mikataba
  • Kuchambua na kutoa mapendekezo kuhusu madai ya malipo kutoka kwa wakandarasi
  • Kukagua barabara zilizotengenezwa ili kuhakikisha ubora wake na
  • Kusimamia ujenzi na matengenezo ya vituo vya mabasi

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika.

3. Seksheni ya Maendelo ya Vijijini na Mijini

Kitengo hiki kitatekeleza shughuli zifuatazo:-

  • Kusimamia maendeleo ya makazi ya vijijini na mijini kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana ya ardhi;
  • Kusimamia huduma za kimazingira na kijamii;
  • Kuongoza mipango ya maendeleo ya miji, nyumba na matumizi endelevu ya ardhi;
  • Kusimamia na kuratibu usimamizi wa mambo ya kale na utalii;
  • Kusimamia mchakato wa ukuaji wa miji kwa kushirikiana na Wizara yenye dhamana ya ardhi;
  • Kuratibu na kukuza maendeleo ya miji inayochipukia kutoka kuwa vijiji hadi kuwa makazi ya mijini na;
  • Kushiriki katika kuwezesha maazimio ya matumizi ya ardhi na migogoro.

Seksheni hii inaongozwa na Afisa Anayehusika

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa