1. UTANGULIZI
Kitengo cha TEHAMA ndicho chenye mamlaka ya kusimamia Mifumo yote iliyosimikwa ndani ya Manispaa ya Morogoro kama vile LGRCIS, LAWSON, FFARS, GoT-HOMIS, BEMIS, PREM, EPICOR, PLANREP, TASAF, SELFORM, Tovuti ya Manispaa na mingine, pamoja na vifaa vyote vya Tekinolojia katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
2. MAJUKUMU YA KITENGO
Kitengo cha TEHAMA kinafanya kazi mbali mbali katika kuboresha matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Halmashauri ili kuendana na wakati na kufanikisha urahisishaji wa kazi katika matumizi ya Mifumo mbali mbali ya Kompyuta inayotumika katika Idara za Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, kuhakikisha Wananchi na Wakazi wa Morogoro wanatumia TEHAMA katika shughuli zao na kuwapunguzia usumbufu wa kupata mahitji yao Kama ilivyoainishwa katika ilani ya Chama Tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) Sura ya nne SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU (Ukurasa wa 151 mpaka 154)
Mchanganuo wa kazi ni kama ilivyo aninishwa hapa chini:
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa