WAFANYABIASHARA WOTE AMBAO NI WAPANGAJI , WANAOFANYA BIASHARA NA WANAOTAKA KUPANGA KATIKA VIOSKI VYA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO VILIVYOPO KATIKA MAENEO YA SUA ROAD, KITOPE ROAD,KAMBARAGE, SOKO LA MAWENZI, STENDI YA KALOLENI, SIDO, SOKO LA KICHANGANI KWAMBA WANATANGAZIWA KUFIKA OFISI YA BIASHARA MANISPAA YA MOROGORO KUCHUKUA FOMU YA MAOMBI.
GHARAMA YA FOMU ITAKUWA NI SHILINGI 30,000/= AMBAPO FOMU HIZO ZA MAOMBI ZITATOLEWA KUANZIA TAREHE 30/03/2020 HADI TAREHE 06/04/2020 KUANZIA MAJIRA YA SAA 2:00 ASUBUHI MPAKA SAA 9:30 JIONI.
BAADA YA HAPO WATAKAOKUWA WAMEKIDHI VIGEZO WATAITWA KWA AJILI YA KUSAINI MKATABA NA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO.
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO
SHEILLA EDWARD LUKUBA.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa