• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na Utawala
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Fedha na Biashara
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu
        • Msingi
        • Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
      • Afya
      • Maji
      • Mipango, Takwimu, na Usimamizi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Public Relation
      • Kitengo cha Ugavi
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

TANGAZO LA UUZWAJI VIWANJA ENEO LA KIEGEA A NA B

02 December 2022

TANGAZO

MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO ANAPENDA KUWATANGAZIA KUWA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO IMEPANGA NA KUPIMA VIWANJA 12000 KATIKA ENEO LA KIEGEA A & B (STAR  CITY).

VIWANJA HIVYO NI KWA AJILI YA MATUMIZI MBALIMBALI IKIWA NI KWA MATUMIZI YA MAKAZI,  MAKAZI NA BIASHARA, VIWANDA, VITUO VYA MAFUTA, VYUO NA MAJENGO YA UMMA.

VIWANJA HIVYO VINAPATIKANA UMBALI WA KILOMETA 3.5 KUTOKA BARABARA KUU IENDAYO DODOMA, KITUO CHA DALADALA MKUNDI SHELI KUPITIA BARABARA YA HOSPITALI YA WILAYA .

BEI ZA VIWANJA HIVYO NI KAMA IFUATAVYO,

MAKAZAI TSH.3500/= KWA MITA MOJA YA MRABA

MAKAZI NA BIASHARA TSH       4500/=

VIWANDA VIDOGO   TSH           4000/=

HUDUMA NA TAASISI  TSH                  3500/=

MAENEO YA BIASHARA TSH     5000/=

MALIPO YA VIWANJA HIVYO YATAFANYIKA KWA

  NDANI YA KIPINDI CHA SIKU 90 (MIEZI 3) TOKA ULIPOCHUKUA FOMU YA MAOMBI YA KIWANJA HUSIKA.

FOMU ZA MAOMBI ZITAANZA KUTOLEWA TAREHE 05/12/2022 KATIKA OFISI ZA ARDHI ZILIZOPO STENDI  MPYA YA DALADALA MAFIGA .

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE SIMMU  NAMBA

0754949816

0717361082

0754405905

“MILIKI KIWANJA KWA BEI NAFUU ”

 

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA UUZWAJI VIWANJA ENEO LA KIEGEA A NA B December 02, 2022
  • ORODHA YA MADEREVA NA WATENDAJI WA MITAA DARAJA LA III WALIOITWA KUFANYA USAILI TAREHE 29/08-1/09/2022 August 22, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 06, 2022
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA KATA 29 MANISPAA YA MOROGORO WASAINI MKATABA WA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA AFUA ZA LISHE

    January 25, 2023
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YAAHIDI KUBORESHA MIPANGO KAZI NGAZI YA KATA.

    January 23, 2023
  • MANISPAA YA MOROGORO YAKABIDHI VISHIKWAMBI 1259 KWA WAALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI. DC MSANDO ATOA NENO.

    January 23, 2023
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI , ELIMU NA AFYA YAPONGEZA UJENZI MIRADI YA ELIMU NA AFYA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    January 21, 2023
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa