MKURUGENZI WA MANISPAA YA MOROGORO ANAWATANGAZIA WAFANYABIASHARA WA HALI ZOTE ,WANAWAKE KATIKA VIKUNDI VYA KIUCHUMI VILIVYOSAJILIWA NA VISIVYOSAJILIWA KUWA MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI TAREHE 28/0/2017 SIKU YA IJUMAA.
UZINDUZI UTAFANYIKA KATIKA HOTEL YA GLONENCY NANENANE.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.
JOHN K.MGALULA
MKURUGENZI WA MANISPAA MOROGORO.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa