• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

ABOOD AKABIDHI KITANDA CHA WAGONJWA WA UPASUAJI.

Posted on: October 12th, 2022

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini, Mhe. Abdulaziz Abood, amekabidhi Kituo cha Afya cha Sabasaba Kitanda cha wagonjwa wa upasuaji pamoja na taa zake ikiwa ni moja ya kuboresha Sekta ya afya.

Akizungumza mara baada ya kukabidhi kitanda hicho , Mhe. Abood, amesema lengo la kutoa kifaa hicho ni kuendela kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu hassan za kuboresha huduma za afya nchini.

Mhe. Abood, amesema amekua akiumizwa sana na changamoto zinazowakabili wananchi ambazo amekua akikutana nazo kila anapokuwa katika ziara zake za kikazi kuwatembelea wananchi hasa changamoto zilizopo katika sekta ya afya zikiwemo mazingira bora ya kujifungulia kina mama na vitanda vya kulalia wagonjwa.

" Nimekuwa nikifanya ziara za kikazi katika Jimbo langu,za kusaidia kutatua changamoto mbalimbali za wananchi kwa msaada wa serikali na wakati mwingine kwa kutumia fedha zangu, leo nipo hapa  kukabidhi Kitanda hiki ambacho Rais Samia amenituma nilete ikiwa ni mkakati wa kuoboresha huduma za afya , nampongeza sana Rais wetu kwa kuwa mstari wa mbele hususani katika upande wa afya ikiwamo kuboresha huduma ya mama na mtoto" Amesema Mhe.Abood.

Mwisho, Mhe. Abood, amesema kuwa ataendela kushughulika na changamoto za huduma za afya kwani amepanga kila Kituo cha afya kukabidhi gari la kubebea wagonjwa ambapo kwa sasa Kituo cha afya cha sabasaba kilishapatiwa gari lake la kubebea wagonjwa ( Ambulance).

Kwa upande wa Mganga Mkuu wa Manispaa ya Morogoro, Dr. Charles Mkumbachepa, amemshukuru Mbunge Abood kwa jitihada zake za kuboresha huduma za afya huku akimuahidi Manispaa kuendelea kumuunga mkono na kutoa ushirikiano.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa