• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MANISPAA YA MOROGORO YAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, DAS MOROGORO AWAASA WANANCHI WAISHIO NA VVU KUENDELEA KUTUMIA DAWA ZA KUFUBAZA VIRUSI

Posted on: December 2nd, 2022

KATIBU Tawala Wilaya ya Morogoro ,Ruth John akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Morogoro katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani Manispaa ya Morogoro, amewaasa Wananchi wanaoishi na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kuendelea kutumia dawa za kufubaza virusi hivyo ili waweze kuishi maisha yenye afya na amani wakati wote.

Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi waliojitokeza katika Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani Manispaa ya Morogoro iliyofanyika Desemba 01/2022 katika Viwanja vya Chuo cha Mifugo Liti Kata ya Mlimani.

Akizungumza katika maadhimisho hayo, Bi. Ruth , ameipongeza Manispaa ya Morogoro , wadau wa UKIMWI na kamati kwa kuandaa siku muhimu kama hiyo ambayo inalenga kupunguza maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI.

“Kipekee ninawapongeza kwa ujasiri wenu wale ambao wamekuwa wakijotokeza kupima na kukutwa na maambukizi, janga hili lipo na ni letu sote, kwani naamini hakuna mtu ambaye halijamgusa kwa namna moja au nyingine hivyo niwaombe wale ambao wamegundulika na maambukizi wajitahidi kuendelea kutumia dawa za kufubaza makali ya virusi ili kuendelea kuimarika zaidi,na wale wasio na maambukizi waendelee kujilinda wao pamoja na familia zao ”Amesema Ruth.

Aidha,Bi. Ruth, amesisitiza wale ambao hawana maambukizi waendelee kuwa mabalozi wazuri kwa wengine juu ya maambukizi na wale ambao hawajatambua hali zao na wale waliotambua hali zao kuendelea kutumia dawa zakufubaza virusi na kutoacha kutumia dawa hizo kwa kuzingatia umuhimu wake.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, amewataka wenye maambukizi wasiache wala kuchoka kutumia dawa hizo kwani kwa kuzingatia umuhimu wake zina wahakikishia na zinawapa nafuu na kuondoa magonjwa nyemelezi kuendelea kuwa na afya njema na kushiriki katika shughuli za kimaendeleo na kufanya dunia mahali salama pa kuishi.

“Serikali imejipanga kuhakikisha kundi la WAVIU wote wanahudumiwa na kupatiwa mahitaji yao muhimu ikiwemo upatikanaji wa dawa za kufubaza makali ya virusi (ARV) hivyo, hivyo ni vyema sasa Serikali na wadau tukaungana pamoja kuhakikisha maambukizi mapaya ya UKIMWI yanapungua badala ya kuongezeka" Amesema Mhe. Kihanga.

Kwa upande wa Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Morogoro, Faraja Maduhu, amesema maambukizi ya UKIMWI yamepanda kwa asilimia 1.0 ambapo mwaka Julai 2021 hadi Juni 2022 watu 62,010 walipima VVU kati ya hao wanawake 4,1351 , wanaume 20,659 na waliokutwa na Ukimwi ni watu 3,527 kati yao wanaume 1,481 na wanakae 2,046 sawa na asilimia 5.6 mwaka 2021/2022 kutoka asilimia 4.6 ya mwaka 2020/2021.

Kamati ya kudhibiti Ukimwi ikiongozwa na Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro ambaye ni Diwani wa Kata ya Sabasaba ,akiwa na wajumbe wake waliohudhuria maadhimisho hayo pamoja na Diwani mwenyeji wa Kata ya Mlimani Mhe. Zinduna.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa