• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MHE.RAIS DK.JOHN MAGUFULI AAHIDI KUSHUGHULIKIA TATIZO LA MAJI MKOA WA MOROGORO.

Posted on: March 19th, 2018

Mhe .Rais Dk John Magufuli amehahidi kumwagiza Waziri wa Maji na Umwagiliaji kufika mkoani Morogoro kushughulikia na kutatua shida kubwa ya uhaba wa maji kwa ajili ya matumizi ya wananchi na viwanda ikiwa ni pamoja na kutolewa fedha ziizotolewa na Jumuiya ya Ulaya kwa ajili ya upanuzi wa Bwawa la Mindu.

Rais Magufuli alisema hayo wakati wakiwahutubia mamia ya wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na wa halmashauri ya wilaya ya Morogoro baada ya kuzindua Kiwanda kipya cha sigara cha Mansoor Ltd cha kutengeneza sigara aina ya Marlboro kilichopo eneo la Mkambalani , wilaya ya Morogoro.

Kabla ya kuhutubia , Rais alimpa fursa Mbunge wa Jimbo la Morogoro mjini, Abdulaziz Abood kusema kidogo akiwawakilisha wabunge wa mkoa wa Morogoro.

Akizungumza mbele ya Rais , Mbunge huyo alisema , licha ya wawekezaji kujitokeza kuwekeza katika viwanda,mkoa wa Morogoro hasa Manispaa ya Morogoro ,lakini kumekuwa na  shida ya upatikanaji wa maji kwa wananchi na viwanda .

Abood alisema ,Manispaa  ilikuwa ikitekelezwa mradi wa maji wa Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji (WSDP) na waziri mwenye dhamana ya Maji na Umwagiliaji alisema kuwa zimetengwa Euro milioni 70 na ilipaswa kutangaza zabuni lakini zaidi ya mwaka mmoja jambo hilo halijafanyika.

Mbunge huyo alimwomba Rais aweze kusaidia jambo hilo ili mradi huo uweze kutelezwa kwa ajili ya kuwezesha upatikanaji wa maji ya kutosha safi na salama ya kuhudumia uwekezaji wa viwanda na kwa matumizi ya wananchi.

Rais alisema , amepokea ombi la Mbunge huyo la kuomba maji kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro kuwa jambo hilo amelibeba kwa nguvu zote na kuagiza wizara husika juu ya fedha Euro milioni 70  za utekelezaji wa mradi wa maji zitolewe ili zifanye kazi inayokusudiwa.

Alisema , Serikali italibeba jambo hilo ili kulifanyia kazi kwa ajili ya kuwezesha upatikanaji wa maji mkoani Morogoro, mkoa wenye mito mingi lakini unakosa maji kwaajili ya  matumizi ya viwanda na wananachi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa