• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

MKURUGENZI MANISPAA MOROGORO AWAASA WAZAZI KUTENGA MUDA WA KUTOSHA KUKAA NA FAMILIA ZAO

Posted on: May 15th, 2020

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya familia Duniani leo Mei 15, Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba ,amewaasa Wazazi na walezi kutenga muda wa kutosha kukaa na familia zao ili kujadili, kushauriana na kutekeleza masuala muhimu ya kuendeleza familia zao; kwani familia ndiyo kitovu cha maendeleo.


Kauli hiyo ameitoa leo Ofisini kwake Mei 15, 2020 katika maadhimisho ya Siku ya Familia duniani kwa njia ya Vyombo vya habari.

 Akizungumza na Waandishi wa habari, amesema Madhumuni ya Siku ya Familia Duniani ni kuhamasisha, kuhimiza, kuelimisha na kutanabahisha jamii kuhusu umuhimu wa familia katika jamii kwa nia ya kuchukua hatua zinazopasa ili kuziimarisha na kuziendeleza. 



 

Aidha, amesema kuwa majukumu yanaongezeka siku hadi siku ambayo husababisha wazazi/walezi kufanya kazi siku zote za wiki na hata usiku, hatimaye kupunguza muda wa kukaa na familia hasa watoto wao na hivyo kusababisha kutokuwepo kwa uwiano wa kazi na majukumu ya malezi.

 


Lukuba amesema, Pamoja na kwamba jamii zinatakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kukidhi mahitaji ya familia,lakini inabidi kuwianisha muda wa kufanya kazi na kukaa na familia ili watoto wapate malezi stahiki.

  

“ Familia nyingi tukizonazo , zinakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa mila na desturi zenye kuleta madhara, umaskini uliokithiri, mawasiliano na miundo mbinu mibovu ambapo husababisha hali ya maisha ya watu kuwa duni na tegemezi na hatimaye kutumia muda mwingi wa kufanya kazi bila ya kujali madhara yatakayotokea kwa familia, nitoe wito kwa ndugu na jamaa wanaoishi na watoto nyumba moja baada ya Wazazi wao kutoka kutafuta ridhiki wawachukulie kama watoto zao na kuacha kuwafanyia vitendo vya ukatili, kipindi hiki Shule zimefungwa Watoto wetu wapo nyumbani isije shule zimefunguliwa badala ya kupokea wanafunzi tunapokea Wajawazito, ni matumaini yangu kwamba kupitia maadhimisho haya familia zitakumbushwa wajibu na mchango wao katika maendeleo ya familia zao, jamii na Taifa kwa ujumla “Amesema Lukuba.. 

 



 

Amesema madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na watoto kuwa na tabia mbaya kama kuacha shule, kukimbilia mitaani, kutokuwa na maadili na kuiga tamaduni zisizokubalika katika jamii yetu pamoja na mimba za Utotoni.

 



   

Hata hivyo, ametoa wito kwa wananchi wote Manispaa ya Morogoro kushiriki kikamilifu katika kuadhimisha siku hii kwa kuwa kila mmoja familia na ni sehemu ya familia ndani ya jamii.

  

Katika hatua nyengine, amesema maadhimisho ya mwaka huu yamelenga katika kuelimisha jamii hususani familia kujikinga na ugonjwa wa CORONA .

  

Amesema kutokana na ugonjwa huo na mikusanyiko ya watu , wametumia nafasi ya kutoa elimu kupitia vyombo vya habari.

  

Mwisho , amewataka a Wazazi na Walezi Manispaa ya Morogoro kuwapatia kazi watoto nyumbani ili wasidhurure hovyo kutokana na janga la gonjwa wa COVID -19.

 



Naye, Afisa Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Morogoro, Enedy Mwanakatwe , amezitaka familia zizingatie maelekezo ya wataalamu wa afya katika kujikinga na Ugonjwa wa CORONA.

 



“ Wanafunzi wapo nyumbani, ni jukumu la wazazi na walezi kuhakikisha watoto wanatulia nyumbani na kusoma kwa njia ya redio, TV na kufanya mazoezi ya mara kwa mara yanayotolewa na walimu wetu kwa njia ya vipeperushe” Amesema Mwanakatwe.

 



Hata hivyo, ametoa wito kwa wazazi na walezi kuendelea kuwalinda na kuwaelimisha watoto kuepuka mimba zisizotarajiwa ili watoto watakapo rudi shuleni wawe salama na waendelee na masomo yao ili wafikie malengo tarajiwa.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa