• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

ZIARA YA MKUU WA WILAYA MOROGORO , CHANGAMOTO YA MIGOGORO YA ARDHI YAONGOZA, DC AMWAGIZA AFISA ARDHI KUSHUGHULIKIA KWA HARAKA .

Posted on: November 7th, 2019

 Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe Regina Chonjo leo Novemba 7, 2019 amekutana na    kusikiliza, kutatua kero za wananchi wa Manispaa ya Morogoro  katika viwanja vya hospitali ya Rufaa Morogoro , changamoto nyingi zilijitokeza lakini kubwa zaidi ni Mogogoro ya ardhi   kufuatia wananchi kutoa kero zao katika mkutano huo.

Akizungumza na Wananchi katika mkutano huo, DC Chonjo  ametoa maagizo mazito kwa Afisa Ardhi mteule  wa Manispaa Gisbert Msemwa kuhakikisha migogoro hiyo inapatiwa ufumbuzi pamoja na kutoa taarifa ya utatuzi wa kero hizo  ofisini kwake kwa kuonesha  jinsi gani  migogoro hiyo ilivyo shughulikiwa kwa haki  bila vimelea vya rushwa wala uonevu.

“Afisa Ardhi wa Manispaa  nakuomba ufanyie kazi na kuzishughulikia hizi kero, haiwezekani kero hizi zinatokea na kurundikana huko mitaani nyie mpo mnaangalia, sasa nataka utekelezaji wa hali ya juu, hawa ni Wananchi wetu, Serikali hii ya awamu ya tano chini ya Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli, inataka kuona migogoro ya ardhi inamalizika na wananchi wanaishi katika hali ya usawa hususani hawa wanyonge ambao wamekuwa wakionewa sana na matajiri aidha kwa kuporwa ardhi yao au mashamba yao" Amesema DC Chonjo.

Katika hatua nyingine, DC Chonjo, amezitaka kero zote za mashamba zilizopo katika Manispaa ya Morogoro, zipelekwe kwa Watendaji wa Kata na kwa kushirikiana na ofisi ya Ardhi na mipangomiji kero hizo zipate majibu.

Amesema kuwa, baada ya kero hizo kuzipokea anataka kupata taarifa zitakazoonesha jinsi walivyoshughulikia kero hizo kwa haki bila ya upendeleo huku akiwaonya watendaji wasiposhughulikia kero hizo atawachukulia hatua za kisheria.

Kwa upande wake Afisa Ardhi Msemwa amesema  maagizo yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya, kuhusiana na migogoro ya ardhi iliyojitokeza kwa Wananchi, atafatilia na kuifanyia kazi na  mara baada ya migogoro hiyo kupatiwa ufumbuzi   watakabidhi taarifa hizo kwa Mkuu wa Wilaya.

Hata hivyo Msemwa amesema katika mkutano huo uliofanyika leo, wamepokea kero mbali mbali za migogoro ya ardhi zikiwa katika makundi mbali mbali, ambapo amesema miongoni mwa makundi hayo  migogoro ya kimipaka ya viwanja na Mashamba, Ndugu kudhurumiana, pamoja na kundi la watu wanaodhurumiana mashamba.

Naye Mwananchi, Nuru Sultani amepongeza Mkuu wa Wilaya kwa kufanya mkutano wa kusikiliza na kutatua kero za Wananchi.

“Kwa kweli mkuu wa wilaya tunaomba ufikishe salamu zetu kwa Mhe.Rais kwa kuchagua viongozi kama nyie wenye maono ya kushughulikia kero za wananchi , tunawombea kwa Mungu awazidishie muendelee kutusikiliza sisi wanyonge” Amesema Nuru.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa