• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

RAS MOROGORO AAGIZA UKAMILISHAJI WA MIRADI MANISPAA MORO

Posted on: October 9th, 2019

Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro  Mhandisi Emmanuel Kalobelo amemuagiza Mkandarasi anayejenga mradi wa kituo cha mabasi madogo maarufu kama stendi ya daradara M/s NANDHRA ENGINEERING AND CONSTRUCTION COMPANY LTD kukamilisha kwa wakati ujenzi huo ili kuwaondolea kero wananchi na madereva wa mabasi hayo.

Mhandisi Kalobelo ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kutembelea miradi inayotekelezwa na Manispaa ya Morogoro na kueleza kuwa pamoja na kuridhika na Ujenzi wa Mradi wa Soko na kuhimiza ukamilishaji wa  ujenzi wa soko hilo kwa wakati hali ilikuwa tofauti kwenye ujenzi wa kituo cha mabasi ambapo ilionekana kazi iliyofanyika kwa kipindi tangu mkandarasi alipoanza ujenzi kasi yake ni ndogo ukilinganisha na muda, hivyo akamtaka msimamizi wa Mkandarasi kuwepo eneo la mradi muda wote ili kuharakisha ujenzi huo.

“sasa la kwanza site manager wa Mkandarasi namtaka awepo hapa full time….Morogoro lazime tuwe na miradi ambayo tunaipanga iishe inaisha kwa wakati, na huu nataka uishe hata kabla ya muda mlioupanga” alisema Mhandisi Kalobero.

Pamoja na kumtaka Site Meneja kuwepo eneo la kazi muda wote, Mhandisi Kalobelo ameagiza wataalamu pamoja na uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kukaa na Mkandarasi huyo ili kupunguza muda uliowekwa wa kukamilisha mradi huo kwa kuwa mda ni mrefu ukilinganisha na kazi iliyopo.

Halmashauri ya Manispaa iliamua  kuibua mradi huo kutokana na hali halisi ya stendi iliyopo mjini kuzidiwa  na wingi wa watu, magari na ukuaji wa Mji.

Mradi wa ujenzi wa kituo  cha mabasi madogo ni mradi utakaochukua miezi 12 hadi kukamilika kwake ambapo na tayari umeanza kutekelezwa

Mradi huu unahusisha ujenzi wa jengo la Utawala, Vyoo, Maduka, soko dogo, migahawa, maegesho ya taxi, bajaji,pamoja na matanki ya maji na kufanya jumla ya gharama yote ya mradi kufikia zaidi ya Tsh. 5.2 Bil.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa