• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

TAARIFA YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2017

Posted on: September 5th, 2017


  • Halmashauri ya Manispaa Morogoro ina jumla ya shule za msingi 87 zitakazofanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017, kati ya hizo shule 62 ni za Serikali na shule 25 zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 7019 wakiwemo wavulana 3357 na wasichana 3655 wanatarajia kufanya Mtihani wa Taifa wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017. Aidha kuna jumla ya mikondo 263 ya mfumo wa Kiswahili na 43 ya mfumo wa Kiingereza, hivyo kufanya idadi ya mikondo kuwa 306.

2.0      MATOKEO YA MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI (PSLE) 2016:

  • Matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi kuanzia mwaka 2013 hadi 2016 ni kama jedwali linavyoonesha hapa chini:


    •  
    • Mwaka
    • Wanafunzi waliosajiliwa
    • Waliofanya
    •  
    • %
    • Waliofaulu
    •  
    • %
    • Wav
    • Was
    • Jml
    • Wav
    • Was
    • Jml
    • Wav
    • Was
    • Jml
    • 2013
    • 2939
    • 3336
    • 6275
    • 2883
    • 3292
    • 6175
    • 98.04
    • 2091
    • 2461
    • 4552
    • 74
    • 2014
    • 2740
    • 3156
    • 5896
    • 2706
    • 3120
    • 5826
    • 98
    • 2028
    • 2328
    • 4356
    • 75
    • 2015
    • 2967
    • 3352
    • 6319
    • 2927
    • 3323
    • 6250
    • 99
    • 2529
    • 2242
    • 4770
    • 76
    • 2016
    • 3236
    • 3464
    • 6700
    • 3220
    • 3440
    • 6660
    • 99
    • 2495
    • 2727
    • 5225
    • 78.47


3.0         UKAGUZI WA VITUO VYA MTIHANI:

Ukaguzi wa Vituo vya Mtihani ulifanyika tarehe 21/8 - 25/8/2017, jumla ya shule 87 zinazotarajia kufanya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017 zilikaguliwa. Aidha ukaguzi huo ulitegemea maoni ya kamati kwa vile baadhi ya shule hazina changamoto za kimiundombinu. Kamati ya Mitihani imehakikisha kuwepo kwa Kasiki madhubuti za kuhifadhia mitihani na kuwepo kwa vifaa muhimu vya kufanyia mtihani kama:- Penseli (HB) zisizo na ufutio, Vifutio, Vichongeo, Vifaa vya kunawia mikono kabla ya kuingia chumba cha Mtihani kwa ajili ya kuzuia uchafuzi wa OMR pia watasisitizwa usafi wa madarasa na madawati/meza, aidha walimu watahimizwa kuhakikisha kuwa kila mwanafunzi anakuwa na kitambaa chake cha kufutia mikono baada ya kunawa.


4.0 SEMINA NGAZI YA WILAYA:

  • Semina ya maelekezo kuhusu Uendeshaji na Usimamizi wa Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) 2017, ilifanyika tarehe 14/8/2017 katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Morogoro kulingana na ratiba iliyotolewa na Mkoa. Katika semina hiyo Kamati ya Mtihani ya Mkoa ilihusika kutoa mada na maelekezo ya usimamizi.


  • 5.0 UPOKEAJI WA VIFAA VYA MTIHANI:
    •             Vifaa vya mtihani vilivyokwisha kabidhiwa wilayani ni CAL, TSM 9, rubber band, makasha na vibao na hakuna upungufu wowote. Aidha vifaa vingine vitapokelewa wakati wa makabidhiano ya mtihani.


    • 6.0 ULINZI WA MTIHANI KABLA, WAKATI NA BAADA YA MTIHANI:
    • Askari 7 watahusika na ulinzi wa Kasiki, Askari 10 watahusika na ulinzi wakati wa kupeleka mitihani kwenye Kanda za mitihani na Mgambo 87 watahusika na ulinzi kwenye vituo vya mtihani.


      Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro unawatakia mitihani mema wanafunzi wote wa darasa la saba.
      Tunaamini maandalizi yaliyofanyika tangu shuleni kwa kufanya majaribio ya kila mwezi pamoja na mitihani ya Utamilifu Wilaya na Mkoa yatazalisha matokeo na ufaulu mzuri wa wanafunzi wetu. 
       

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa