• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

WANATAALUMA YA SHERIA VYUONI WAASWA KUTUMIA TAALUMA ZAO KWA USTAWI WA TAIFA

Posted on: May 21st, 2023

MWANASHERIA kutoka Ofisi ya sheria Manispaa ya Morogoro, Alson Kireri, akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Morogoro kwenye kikao kazi cha wanataaluma wa sheria kutoka kikundi cha Youth Led Movement, amewataka wanataaluma hao kujitoa kwa kuwasaidia wanyonge na masikini kuweza kupata haki zao na sio kutumia taaluma katika kuwatetea watu wanaofanya uhalifu.

Kauli hiyo ameitoa Mei 18/2023 katika kikao kazi cha wanataaluma hao cha kujadili njia sahihi za kufanya kwa wanataaluma hao katika kuisaidia jamii hususani kulinda maadili ya Mtanzania kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Edema Hotel Msamvu.


Kireri,amesema kuwa kuna watu wanakosa haki kutokana na kukosa msaada wa kisheria, hivyo kama kikundi kitumie fursa hiyo kufika mitaani kuwafundisha sheria ili wananchi wajue haki zao na wajibu wao.


Amesema kama wanataaluma hao wa sheria kwa kushirikiana na wenzao katika vyuo mbalimbali wakijitoa kwa moyo mmoja watakuwa wamesaidia wananchi kupata haki pamoja na kupunguza migogoro iliyopo.

"Wapo Vijana ambao wanatoa msaada wa kisheria kwa kushirikiana na vituo vya kisheria , hawa wanaonesha uzalendo mkubwa naomba na nyie mkatumie taaluma yenu kuwatumikia wananchi" Amesema Kireri.

Mwakilishi wa Wanasheria waliojitolea kutoa msaada wa Kisheria, Georgia Kamina amesema kuwa wamesaidia makundi mengi ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi.

Naye Katibu wa Vijana CCM Wilaya ya Morogoro Mjini, Sabrina Juma,amesema kwa kuwa yeye anabeba jukumu la kuwalea Vijana atahakikisha elimu ya sheria Vijana wake wanaifahamu na kuleta mabadiliko chanya kwa Jumuiya yake anayo iongoza.

Mwenyekiti wa Kikundi cha Youth Led Movement,Asia Ashraf, amesema lengo la kikao kazi hicho walichokiandaa ni kutokana na kugundua kuwa wananchi kushindwa kujua sheria na jinsi ya kupata haki zao.



 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa