• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

ZOEZI LA UHAKIKI REJEA WALENGWA WA MPANGO WA TASAF MANISPAA YA MOROGORO KIPINDI CHA PILI AWAMU YA TATU KUANZA KESHO DESEMBA 08/2020

Posted on: December 7th, 2020

Zoezi la Uhakiki rejea wa Kaya zilizopo katika Mpango wa TASAF Manispaa ya Morogoro kuanza kesho Desemba 08/2020 .

Kauli hiyo imetolewa na Mtaalamu wa Ufuatiliaji na Tathmini TASAF Makao Makuu, Farig Michael, leo Desemba 07/2020 katika Ukumbi mdogo wa Msamvu wakati wa mafunzo kwa Maafisa Waandikishaji.

Akizungumza juu za zoezi hilo, Mtaalamu wa Ufuatiliaji na Tathmini TASAF Makao Makuu, Farig Michael, amesema kuwa zoezi hilo litaendeshwa kwa Kaya ambazo hazikufanya uhakiki katika kipindi cha kwanza awamu ya tatu kutokana na sababu mbalimbali.

Farig,amesema kuwa, Mkazo mkubwa katika Kipindi cha Pili utawekwa katika kuwezesha Kaya zitakazoandikishwa kwenye Mpango kufanya kazi ili kuongeza kipato na kuhakikisha kwamba huduma za jamii zinaongezwa na kuboreshwa na kuendeleza rasilimali watoto hususani katika upatikanaji wa elimu na afya.

Amewasisitiza Viongozi na Maafisa Waandikishaji Kaya kufanya kazi kwa uadilifu na weredi wakati wa utekelezaji wa Zoezi hili kama maagizo yaliivyotolewa na Mh Rais katika hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Kipindi cha Pili kuhusu uwepo wa kaya hewa.

Aidha, amesema kuwa Uwajibikaji na uadilifu kwa wataalamu ni muhimu katika kusimamia zoezi la uhakiki wa Walengwa wa Mpango wa TASAF ambao utasaidia kupata Takwimu sahihi za wanufaika halisi ndani ya Manispaa ya Morogoro.

Naye, Mratibu wa TASAF, Manispaa ya Morogoro Feliciana Katemana, amesema wanaatarajia zoezi hilo kuanza kesho Desemba 08/2020 ambapo litachukua muda wa siku nne kukamilika.

"Leo tupo hapa kwenye mafunzo kwa ajili ya kufanya uhakiki rejea ambao tunaanza kesho Desemba 08/2020, lakini walengwa hawa sio wapya bali ni wale waliopo katika malipo wa awamu ya kwanza tulioanza mwezi wa 7/2020 ambao hawaja hakikiwa kutokana na sababu mbali mbali, kwa hiyo Serikali imeandaa utaratibu mwingine wa kuwafikia ambapo Maafisa Watendaji wote wa Kata watawataarifu wale walengwa ambao hawaja hakikiwa " Amesema Katema.

 Kata ambazo zitahusika na mpango huo wa uhakiki rejea ni pamoja na Bigwa, Chamwino, Kauzeni, Mafiga, Kiwanja cha Ndege, Kichangani, Magadu, Kihonda, Kihonda Maghorofani, Kilakala, Kingo , Kingolwira, Mazimbu , Luhungo pamoja na Kata ya Lukobe

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • FURSA YA UWEKEZAJI KWA NJIA YA UBIA(PPP) February 18, 2025
  • ZABUNI YA UPANGISHAJI ENEO LA ROCK GARDEN MANISPAA YA MOROGORO August 16, 2022
  • MAPOKEZI YA HELA ZA OC KWA MWEZI JULAI 2022 KIASI CHA TSH 8,714,000.00 August 10, 2022
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • BARAZA LA MADIWANI NA WATUMISHI MANISPAA YA MOROGORO WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO HALMASHAURI YA JIJI TANGA

    April 26, 2025
  • KAMATI YA KUDHIBITI UKIMWI MANISPAA YA MOROGORO YATAKA KASI VITA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA.

    April 17, 2025
  • KAMATI YA HUDUMA ZA UCHUMI, AFYA NA ELIMU MANISPAA YA MOROGORO YARIDHISHWA NA KASI YA MIRADI YA MAENDELEO.

    April 15, 2025
  • MWENGE WA UHURU KITAIFA WAZINDUA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI ZAIDI YA BILIONI 1.8.

    April 12, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa