Friday 26th, April 2024
@Sikukuu ya Pasaka
Sikukuu ya Pasaka itakuwa tarehe 16.04.2017, ambapo wananchi wote wanapaswa kuabudu kwa amani bila kuharibu amani ya Mkoa wa Morogoro, Pia kumbi zote za starehe ziwe na ulinzi ili kuhakikisha hakuna uvunjifu wa amani sehemu hizo
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa