MKUU wa Mkoa wa Tangana Mwenyekiti wa Kikao Cha Maandalizi ya Maonesho ya Wakulima Nanenane Kanda yaMashariki, Mhe. Balozi Batilda Burhan ameiagiza kamati ya uratibu wa masuala yamaadhimisho ya wakulima maarufu kama
Nanenane kuhakikishawanafanyia kazi mapendekezo, maoni na ushauri wa wajumbe wa Kamati Kuu ambayoni pamoja na kuhakikisha maonesho ya mwaka huu yanaongeza tija kwa waandaaji nawanufaika na kuepuka kuyafanya kwa mazoea.
Kwa upande wake mkuuwa mkoa wa Morogoro, Mhe. Adam Kighoma Malima, ambaye ndiye mwenyeji wa kikaohicho amesema suala la upatikanaji wa maji toshelevu katika uwanja huo ni lamuhimu sana na ameahidi kulishughulikia huku akizitaka halmashauri zotekuhakiksha zinakuwa na vyombo vya kuhifadhia maji.
Kikao hiki ni chakwanza kwa mwaka 2025 na hukutanisha wajumbe kutoka mikoa minne inayounda Kandaya Mashariki, ambayo ni Tanga, Pwani, Dar-es-Salaam na Morogoro.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro
Anuani: 166 morogoro
Simu: 0232614727
Simu: 0734-039300
Baruapepe : info@morogoromc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa