• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Morogoro Municipal Council
Morogoro Municipal Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
    • Wakuu wa Divisheni na Watumishi
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Divisheni
      • Rasilimaliwatu na Utawala
      • Miundombinu, Uendelezaji wa Vijijini na Mijini
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Afya, Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Mipango na Uratibu
    • Vitengo
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ugavi na Manunuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Fedha na Uhasibu
      • Taka Ngumu na Usafishaji
      • Michezo, Sanaa na Utamaduni
      • TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Mazingira
    • Miundombinu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Meya/Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoisha
    • Miradi inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Fomu ya Maombi
    • Waraka
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
  • Market
    • Market line 1
    • Maket line 2

BONANZA LA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR LAFAANA

Posted on: April 26th, 2025

KATIKA Maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Wananchi wa Wilaya ya Morogoro wameshiriki michezo mbalimbali katika kuadhimisha sherehe hizo.

Michezo hiyo imefanyika Aprili 26-2025 katika Kiwanja cha Mpira shule ya Msingi Mwere iliyopo Kata ya Kingo ikijumuisha michezo ya mpira wa Miguu , Netball na kuvuta kamba.


Kabla ya michezo hiyo kufanyika,sherehe hizo zimeambatana na zoezi la upandaji wa Miti pamoja na ufanyaji wa usafi wa mazingira.

Katika upandaji wa Miti, jumla ya miti 71,000,013 imepandwa katika maeneo mbalimbali ili kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.

Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa michezo hiyo, Afisa Tawala Wilaya ya Morogoro akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Ndg. Hilary Sagara, amesema kuwa michezo ni afya hivyo katika kilele cha maadhimisho hayo ni muhimu kuimarisha afya ili kuendelea kuleta maendeleo.



“Michezo ni afya hivyo katika maadhimisho haya, tumeona ni vyema tukawa na michezo ,kwanza inakutanisha jamii, kubadilishana ubunifu wa kiutendaji lakini michezo inaimarisha afya zetu"Amesema Sagara.



Katika hatua nyingine, Sagara,amesema mwakani watahakikisha kunakuwa na michezo mingi zaidi ya hii ambayo imefanyika kwani zipo changamoto walizoziona na watazifanyia kazi katika maadhimisho yajayo mwakani 2026.

Katika michezo hiyo, timu ya Mpira wa miguu ya Moro Heroes wameibuka washindi kwa mikwaju ya penati ya 5-4 dhidi ya timu ya Moro Star.

Kwa upande wa Netball,timu ya wanawake ya Moro Queen imeibuka kidedea kwa ushindi wa magoli 31-10 dhidi ya timu ya Moro Manispaa.

kwenye mchezo wa Kuvuta kamba, timu ya wanawake Moro Queen waliibuka kidedea kwa kuwavuta timu ya wanawake Moro Manispaa na upande wa wanaume,timu ya Moro Heroes iliwashinda timu ya Moro Star.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 04, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI February 19, 2025
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2023 July 14, 2023
  • ENVIRONMENT AND SOCIAL IMPACT ASSESSMENT April 24, 2024
  • Angalia Yote

Habari Mpya

  • DC KILAKALA AZINDUA BONANZA LA MOROGORO OKTOBA TUNATIKI 2025, BLACK VIBA YATANGULIA FAINALI

    July 23, 2025
  • ZAIDI YA KM 90 ZA BARABARA KUCHONGWA KUONDOA CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU YA BARABARA MANISPAA YA MOROGORO

    July 16, 2025
  • SHIRIKA LA MOTHER OF MERCY LAJA NA MICHUANO YA KUHAMASISHA NISHATI SAFI YA KUPIKIA MANISPAA YA MOROGORO.

    July 12, 2025
  • WIZARA YA MAJI YADHAMIRIA KUTATUA CHANGAMOTO YA MAJI MOROGORO-ENG.MWAJABU.

    July 03, 2025
  • Angalia Yote

Video

MEYA KIHANGA AKABIDHI TAULO ZA KIKE KWA WANAFUNZI ZAIDI YA 1600 WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Fomu Leseni za Biashara
  • Sheria Ndogo za Manispaa ya Morogoro
  • Sisi ni Nani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Tamisemi
  • Morogoro Modern Market system (outside)
  • Tovuti ya Utumishi
  • Morogoro Modern Market System (LAN Network)
  • Tovuti Rasmi ya Ikulu
  • Tovuti ya RAS Morogoro

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro

    Anuani: 166 morogoro

    Simu: 0232614727

    Simu: 0734-039300

    Baruapepe : info@morogoromc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma Zetu

Hatimiliki ©2017 Halmashauri ya Manisaa ya Morogoro. Haki zote zimehifadhiwa