Posted on: October 30th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Regina Chonjo ameuagiza uongozi wa Manispaa kupitia upya gharama za ujenzi wa stendi ya daladala ambazo ni shilingi bilioni 5.2 ili kujiridhisha kama fedha hiyo ...
Posted on: October 27th, 2019
Kamati ya kudumu ya bunge ya katiba na sheria imetembelea na kukagua vikundi vinavyopewa mikopo na Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ikiwa ni agizo la Serikali la Kutenga asilimia 10 ya mapato yake ...
Posted on: October 26th, 2019
Ofisi ya Mashtaka ya mkoa wa Morogoro imewaonya baadhi yavijana wa Bodaboda kuachana na tabia ya kuwafuatilia na kuwarubuni wanafunzi wakike wa shule za msingi na sekondari kwani watajikut...