Posted on: December 12th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Mussa Kilakala, amekabidhi Viti mwendo (Wheelchair) kwa watu wenye ulemavu Manispaa ya Morogoro.
Zoezi la ugawaji wa Viti mwendo limefanyika Ukumbi wa JKT Bwalo Des...
Posted on: December 10th, 2024
MANISPAA ya Morogoro imeadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya mdahalo kuhusu maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho.
Sherehe hizo za uhuru zimefanyika Desemba 09-2024 katika ...
Posted on: December 8th, 2024
WAKATI Tanzania (zamani Tanganyika) ikielekea kuadhimisha miaka 63 ya uhuru leo Disemba 9, 2024, Manispaa ya Morogoro imeiadhimisha siku hiyo kwa kuanza kufanya usafi katika Kituo cha Afya Mafig...