Posted on: May 16th, 2020
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro, imezindua rasmi kampeni ya usafi na mazingira katika maeneo za shule pamoja na makazi ya watu.
Kampeni hiyo imezinduliwa leo Mei 16,2020 na Afisa Tarafa wa Mani...
Posted on: May 15th, 2020
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya familia Duniani leo Mei 15, Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba ,amewaasa Wazazi na walezi kutenga muda wa kutosha kukaa na familia zao ili kujadili, k...
Posted on: May 14th, 2020
MKURUGENZI wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, amesema tayari Manispaa ya Morogoro imeshachukua hatua za haraka za kutekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim ...