Posted on: August 16th, 2024
Kata za Mafiga na Tungi, zimeibuka vinara katika kufanya sherehe za maadhimisho ya siku ya afya na lishe duniani.
Kata hizo zimetajwa Agosti 16-2024 katika kikao Cha kawaida Cha Kamati ya Tathmini ...
Posted on: August 15th, 2024
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wamemthibitisha Naibu Meya wa Manispaa hiyo, Mhe.Seif Zahoro Chomoka , aliyeshinda kwa kishindo kwa kupata kura zote baada ya Baraza hilo kumthibitisha....
Posted on: August 4th, 2024
Wananchi wa Manispaa ya Morogoro wameombwa kufika katika maonesho ya Sherehe za Nanenane Kanda ya Mashariki 2024 ili wachukue teknolojia zinazooneshwa na wataalam wa kilimo na ufungaji ili kuwawezesha...