Posted on: May 8th, 2023
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imepokea Ruzuku kutoka serikali kuu jumla ya shilingi 620,014,716.00 kwa mwezi April 2023.
Akizungumza Juu ya mapokezi hayo ya fedha hizo za Ruzuku, Mkurugenzi w...
Posted on: May 1st, 2023
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wafanyakazi wa Sekta zote hapa nchini kufanya kazi kwa Weledi na kuwa waadilifu katika utendaji wao kazini.
Rais Sami...
Posted on: April 30th, 2023
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Fatma Mwassa, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha jamii umuhimu wa kuhifadhi mazingira.
Kauli hiyo ameizungumza Aprili 29/2023 katika zoezi la upandaji wa mi...