Posted on: September 3rd, 2018
Kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali za mitaa LAAC imeitaka Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kuandaa taarifa ya hesabu za miradi ya maji na barabara nakwamba muda wowote itaitwa mbele ya...
Posted on: August 31st, 2018
Wizara ya fedha imeipatia halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kiasi cha Sh bilioni 18 .1 kwa ajili ya ujenzi wa soko jipya na la kisasa la ghorofa mbili kwa ajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa ain...
Posted on: August 29th, 2018
Maofisa elimu wa kata za Manispaa ya Morogoro wametakiwa kujituma na kuwa waadilifu katika kazi zao za ukaguzi wa shule za msingi na sekondari ili mapungufu yanayobainika yaweze kufanyiwa kazi ...