Posted on: March 7th, 2023
MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Mzeru, ameahidi kuwapatia Jukwaa la Wanawake Kata ya Kihonda Shilingi milioni 1 na laki 5 kwa ajili ya kutunisha mfuko wa jukwaa lao katika kujikwamu...
Posted on: March 6th, 2023
DIWANI wa Kata ya Mkundi, Mh. Seif Chomoka, amesema ili bidhaa ziweze kuuzika ni lazima wajasiriamali wajikite katika kujitangaza na kutafuta masoko.
Kauli hiyo ameitoa Machi 04/2023 akizungumza na...
Posted on: March 4th, 2023
DIWANI wa Kata ya Boma Manispaa ya Morogoro, Mhe. Athumani Lujuo, amesema anatarajia kumalizia ukarabati wa Kituo cha Polisi Kata ya Boma kwa lengo la kuimarisha ulinzi katika Kata hiyo.
Kauli hiyo...