Posted on: June 16th, 2021
Wazazi pamoja na jamii Manispaa ya Morogoro wametakiwa kuwatunza watoto wao kwa kufuata maadili mema na kuwapatia huduma zote za kimsingi ili kuweza kuwaandaa watoto hao kuwa raia wema.
Wito huo um...
Posted on: June 9th, 2021
Walimu wa shule za Msingi na Sekondari Manispaa ya Morogoro wametakiwa kuzingatia vipindi darasani ili kuweza kuongeza viwango vya ufaulu.
Kauli hiyo imetolewa leo Juni 09,2021 kwenye Ukumbi wa Mik...
Posted on: June 5th, 2021
Naibu meya Manispaa ya Morogoro Mhe, Mohamedi Lukwele amewataka wananchi kuendelea kuhifadhi mazingira yao ili kuepuka magonjwa ya mlipuko yanayotokana na uharibifu wa mazingira na kuwataka &nbs...