Posted on: November 28th, 2024
WENYEVITI wa mitaa wateule na wajumbe kutoka katika kata 29 za Manispaa ya Morogoro wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Tanzanite Hall.
Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi...
Posted on: November 22nd, 2024
WASIMAMIZI wa Vituo vya kupigia kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27-2024 Manispaa ya Morogoro wamepatiwa mafunzo ili kuifanya kazi hiyo kwa uamakini na kufanya uchaguzi kuwa huru na haki.
...
Posted on: November 18th, 2024
MKUU wa Wilaya ya Morogoro,Mhe. Mussa Kilakala, amewakutanisha wadau wa maendeleo kutoka Taasisi mbalimbali pamoja na mashirika binafsi kwa lengo la kuchangia na kutatua tatizo la madawati na changamo...