Posted on: January 7th, 2022
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Albert Msando, amepiga marufuku suala la uchepushaji wa maji katika vyanzo vya maji.
Kauli hiyo, ameitoa hivi karibuni, katika ziara yake ya kukagua vyanzo vya maji...
Posted on: January 5th, 2022
Taasisi isiyo ya Kiserikali ya WEZEESHA MABADILIKO chini ya Mkurugenzi wake. Dr. Lusako Mwakiluma,imeikabidhi Manispaa ya Morogoro Choo cha Mtoto wa Kike ilichokijenga katika Shule ya Sekondari Ulugur...
Posted on: December 31st, 2021
MANISPAA ya Morogoro, imekabidhi Bodaboda 10 zenye thamani ya shilingi Milioni 25,800,000/= kwa Kikundi cha BOMSATE kilichopo Kata ya Mafisa Mtaa wa White House chenye Maskani yake eneo la Stendi ya M...