Posted on: February 13th, 2023
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Rebeca Nsemwa , amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuboresha vyanzo vilivyopo ili kuwezesha Halmashauri kuweza...
Posted on: February 10th, 2023
MANISPAA ya Morogoro imegawa vitabu 45,486 kwa Waalimu wa shule za Msingi kwa ajili ya kuwafundishia wanafunzi.
Vitabu hivyo vimetolewa Februari 05/2023 katika Ofisi Kuu ya Manispaa ambapo kwa kila...
Posted on: February 9th, 2023
MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, amefurahishwa na kazi nzuri inayofanywa na Wataalamu wa Manispaa ya Morogoro katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo.
Kauli hiyo, ameit...