Posted on: March 31st, 2018
Wanawake mkoani Morogoro wamehimizwa kufanya kazi kwa bidii na kuacha kuwategemea kwa asilimia kubwa wanaume zao na badala yake waungane kuanzisha vikundi vya ujasiriamali vikiwemo vya viwanda vidogo ...
Posted on: March 27th, 2018
Wanafunzi wa shule ya Msingi Uhuru iliyopo Manispaa ya Morogoro wametakiwa kujenga tabia ya kusoma vitabu ili kuwa na uelewa mpana wa masuala mbalimbali ya kisanyansi na kijamii ili kupata maarifa na ...
Posted on: March 19th, 2018
Mhe .Rais Dk John Magufuli amehahidi kumwagiza Waziri wa Maji na Umwagiliaji kufika mkoani Morogoro kushughulikia na kutatua shida kubwa ya uhaba wa maji kwa ajili ya matumizi ya wananchi na viwanda i...