Posted on: March 28th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo,amekabidhi jumla ya Ndoo 100 za kuwekea maji tiririka pamoja na sabuni ikiwa ni jitihada za kujikinga na Ugonjwa wa CORONA Manispaa ya Morogoro.
Akizu...
Posted on: March 26th, 2020
Afisa Utumishi Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Waziri Kombo , amekutana na Watendaji wa Kata zote 29 pamoja na Watendaji wa Mitaa, Maafisa Afya kwa ajili ya kuwasilisha taarifa za jinsi gani wali...
Posted on: March 26th, 2020
Manispaa ya Morogoro imewatoa hofu wananchi kuhusiana na suala zima la upatikanaji wa Vibali vya Ujenzi katika maeneo ya Kata zao.
Hayo yamezungumzwa leo Machi 26 , 2020 na Afisa Mipango Miji wa Ma...