Posted on: January 23rd, 2023
KAMATI ya Kudhibiti Virusi vya UKIMWI Manispaa ya Morogoro imesema kwa sasa watahakikisha wanaelekeza nguvu katika kuboresha mipango kazi ngazi ya Kata ili kudhibiti maambukizi mapya ya UKIMWI.
...
Posted on: January 23rd, 2023
MKUU wa wilaya ya Morogoro Mhe. Adv. Albert Msando , ameongoza zoezi la ugawaji vishikwambi 1259 kwa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari zilizopo Manispaa ya Morogoro.
Zoezi hilo limefanyika kat...
Posted on: January 21st, 2023
KAMATI ya Huduma za Uchumi, Elimu na Afya Manispaa ya Morogoro imepongeza wataalamu pamoja na timu nzima ya Utawala ikiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa kwa kukamilisha miradi ya elimu na afya kwa wak...