Posted on: April 11th, 2020
MKURUGENZI Manispaa ya Morogoro, Sheilla lukuba,amepiga marufuku biashara kupangwa chini hususani bidhaa za vyakula.
Agizo hilo amelitoa Aprili 11,2020 kufuatia agizo la Mkuu wa Wilay...
Posted on: April 7th, 2020
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro katika mapato yake ya ndani ipo mbioni kukamilisha Choo cha Mtoto wa kike chenye matundu 12 na thamani ya Shilingi Milioni 35 kilichopo Shule ya SekondariTubuyu, ik...
Posted on: April 6th, 2020
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Sheilla Lukuba, amewataka watumishi wa Manispaa ya Morogoro kuweka malengo katika utendaji wa kazi ili kuweza kutoa huduma bora kwa wananchi na kuiletea maendeleo M...