Posted on: April 30th, 2023
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Fatma Mwassa, ametoa wito kwa viongozi wa dini kuhamasisha jamii umuhimu wa kuhifadhi mazingira.
Kauli hiyo ameizungumza Aprili 29/2023 katika zoezi la upandaji wa mi...
Posted on: April 28th, 2023
BARAZA la Maendeleo Kata ya Mafiga chini ya Mwenyekiti wake ambaye ndiye Diwani wa Kata hiyo, Mhe. Thomas Butabile, wamekabidhi miradi ya shule ikiwemo Maktaba ya Shule ya Sekondari Mafiga pamoja vyum...
Posted on: April 28th, 2023
BARAZA la Madiwani Manispaa ya Morogoro robo ya tatu kipindi cha Januari hadi Machi 2023 limefanyika leo Aprili 27/2023 katika ukumbi wa Mikutano Ofisi Kuu ya Manispaa.
Akifungua mkutano huo ...