Posted on: December 16th, 2020
HALMASHAURI ya Manispaa ya Morogoro imetakiwa kuweka nguvu katika kujikita kupambana na afya duni za Watoto.
Kauli hiyo imetolewa Desemba 16/2020 na Afisa Tawala Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro...
Posted on: December 15th, 2020
MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Morogoro , Mhe. Pascal Kihanga, amewataka Madiwani wa Manispaa ya Morogoro kuzingatia maadili ya kazi katika utendaji wao ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi.
Kau...
Posted on: December 14th, 2020
KATIBU Tawala Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Emmanuel Kalobelo, amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kubuni vyanzo vipya vya mapato na kuboresha vyanzo vilivyopo ili kuwezesha Halmash...