Posted on: August 28th, 2017
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imekabidhi shughuli za uendeshaji na matengenezo ya mradi wa Maji wa Kasanga kwa Mamlaka ya Maji na usafi wa mazingira (MORUWASA).
Akizungumza wakati wa makabidh...
Posted on: August 21st, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bi Regina Chonjo amewakumbusha wenyeviti wa Mitaa wote wa Manispaa ya Morogoro kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sera na miongozo iliyopo.
Akizungumza katika kikao n...
Posted on: August 12th, 2017
Serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya jamii(TASAF) imetoa jumla ya Tsh 16,740,000.00 kata ya Chamwino iliyopo ndani ya Manispaa ya morogoro na kunufaisha jumla ya kaya 512, ikiwa ni utekelezaji wa mp...