Posted on: March 19th, 2020
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Regina Chonjo, ametoa kiasi cha Shilingi Milioni Moja 1,000,000/= kama ahadi aliyoiahidi kwa Taasisi ya Wildina Foundation inayojishughulisha na kuwasaidia kuwanyanyua...
Posted on: March 12th, 2020
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, imetoa taarifa ya ujumla ya watoto 32,093 sawa na 72.5% chini ya umri wa miaka mitano wapata usajili wa vyeti vya kuzaliwa uku Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogor...
Posted on: March 9th, 2020
Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro, Mhandisi. Emmanuel Kalobelo, amewataka wakina mama Wajasiriamali kuibua miradi yenye tija na inayotekelezeka ili kuweza kurejesha fedha za mikopo kwa wakati kuliko kuwa...