Posted on: November 1st, 2019
Jumla ya Watahiniwa 10,021 Manispaa ya Morogoro wanatarajia kufanya mitihani ya Taifa ya kidato cha nne itakayoanza Novemba 4 mwaka huu Nchini kote.
Kati ya watahiniwa hao, Wavulana ni 4479 na Wasi...
Posted on: October 31st, 2019
Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA), Manispaa ya Morogoro kwa mwaka wa fedha 2019/2020 umeidhinishiwa kiasi cha Sh bilioni 1.6 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi miwili ya ujenzi wa barabar...
Posted on: October 31st, 2019
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Sheilla Lukuba ametoa siku saba kwa wamiliki wa Hotel na nyumba za kulala wageni kuanza kulipia madeni yao ya ushuru wa nyumba za kulala wageni ambayo wanadaiw...