Posted on: April 4th, 2022
DIWANI wa Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro, Mhe. Seif Chomoka amekabidhi hundi ya Milioni 5 kwa vikundi Wanawake Wajasiriamali Kata ya Mkundi na kuwataka kubuni miradi yenye tija na mwelekeo ...
Posted on: April 1st, 2022
ZAHANATI mpya sita (6) ,Manispaa ya Morogoro zimeanza kutoa huduma huku baadhi ya huduma nyingine zikiwa mbioni kuanza kutolewa huku Manispaa ikianza na watumishi 18 katika zahanati zote 6 wakiwamo wa...
Posted on: March 29th, 2022
MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Mhe. Albert Msando, amewatoa hofu wananchi wa Kiegea A na B Kata ya Mkundi na Kihonda Manispaa ya Morogoro juu ya upimaji wa eneo hilo lenye ekari 4500.
Hayo ameyasema M...