Posted on: December 14th, 2020
MADIWANI wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wametakiwa kushirikiana na Wananchi pamoja na Watumishi ili kuhakikisha maendeleo katika Kata zao na Halmashauri kwa ujumla.
Akizungumza na Waandishi...
Posted on: December 9th, 2020
MKUU wa Wilaya ya Morogoro. Mhe. Bakari Msulwa, ameongoza mamia ya Wananchi wa Manispaa ya Morogoro ikiwamo Taasisi za Serikali na za watu binafsi kushiriki katika Kampeni ya Kupanda Miche ya Miti 150...
Posted on: December 7th, 2020
Zoezi la Uhakiki rejea wa Kaya zilizopo katika Mpango wa TASAF Manispaa ya Morogoro kuanza kesho Desemba 08/2020 .
Kauli hiyo imetolewa na Mtaalamu wa Ufuatiliaji na Tathmini TASAF Makao Makuu, Far...