Posted on: June 14th, 2022
KATA ya Mafiga Manispaa ya Morogoro imedhimisha kilele cha Siku ya Mtoto wa Afrika Duniani pamoja na kuadhimisha Siku ya Lishe Duniani.
Maadhimisho hayo yamefanyika leo Juni 14/2022 kwenye Ofisi ya...
Posted on: June 14th, 2022
MANISPAA ya Morogoro imezindua rasmi mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA).
Uzinduzi huo umefanyika Juni 10, 2022 kwenye viwanja vya shule ya Sekondar...
Posted on: June 13th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Morogoro,Mhe. M,artine Shigela, amesema kufunguliwa kwa kiwanda cha Tumbaku Mkoa wa Morogoro kitatengeneza mazingira mazuri ya mzunguko wa fedha na kutoa ajira kwa wananchi.
Kauli h...