Posted on: December 10th, 2024
MANISPAA ya Morogoro imeadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kufanya mdahalo kuhusu maendeleo yaliyopatikana katika kipindi hicho.
Sherehe hizo za uhuru zimefanyika Desemba 09-2024 katika ...
Posted on: December 8th, 2024
WAKATI Tanzania (zamani Tanganyika) ikielekea kuadhimisha miaka 63 ya uhuru leo Disemba 9, 2024, Manispaa ya Morogoro imeiadhimisha siku hiyo kwa kuanza kufanya usafi katika Kituo cha Afya Mafig...
Posted on: December 8th, 2024
KUELEKEA Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara, watumishi wa Manispaa ya Morogoro na Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wameshiriki michezo mbalimbali ikiwa ni kuelekea sherehe za miaka 63 ...